Mainus
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 295
- 238
Hatuyafaham mimi ,Turnoff , na ZZMigebuka niyo ipojee wengi hatuyafahamu...
Hatuyafaham mimi ,Turnoff , na ZZMigebuka niyo ipojee wengi hatuyafahamu...
Hatuyafaham wengiMigebuka niyo ipojee wengi hatuyafahamu...
ZZ ni mshamba hapo kwa hiyo usimwihesabu ktk maakulati....Hatuyafaham mimi ,Turnoff , na ZZ
wengi hamuyafahamu migebuka ni samaki wanaopatikana ziwa tanganyikaHatuyafaham wengi
Tanganyika ilikuwa zamaniwengi hamuyafahamu migebuka ni samaki wanaopatikana ziwa tanganyika
zamani za kaleTanganyika ilikuwa zamani
Kale Migebuka wewe na wa Mwanza wale sato, ila siye wa pwani tuwala jodari na supu ya pweza......zamani za kale
Siyapendi majitu yanayojifanya yanajua kila kitu!Mawese mafuta mazuri sana lakini Mimi siyapendi
Kila kitu kizuri kwake napataSiyapendi majitu yanayojifanya yanajua kila kitu!
Napata nikitakacho nawe mpatie akitakacho.....Kila kitu kizuri kwake napata
Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
Akitakacho hakipati mpaka aombeNapata nikitakacho nawe mpatie akitakacho.....
Aombe yasimkute maana watamtumbua majipu kwa koleo......😀Akitakacho hakipati mpaka aombe
Aombe yasimkute maana watamtumbua majipu kwa koleo......😀
Uhunzi ni moja ya uzoefu unaohitajika jijini Dar !!Koleo kuvunjika kwake siyo mwisho wa uhunzi.
Dar leo kumetota chapachapaUhunzi ni moja ya uzoefu unaohitajika jijini Dar !!
Chapachapa la aina gani tuwekee maelezoDar leo kumetota chapachapa
Maelezo yake kwa kifupi kuna mvua inanyesha mfululizoChapachapa la aina gani tuwekee maelezo
Mfululizo wa kufungwa fungwa kwa timu ya Taifa stars ni dhahiri kuwa hatujui kucheza......Maelezo yake kwa kifupi kuna mvua inanyesha mfululizo
Kucheza tutacheza sisi banaa...Mfululizo wa kufungwa fungwa kwa timu ya Taifa stars ni dhahiri kuwa hatujui kucheza......
Banaa tumejitahidi sana sana lakini wapi... labda tuufyate na kuwa wapole hapo tutabarikiwa!!Kucheza tutacheza sisi banaa...