Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Mengine yatafuata baada ya kuwakabidhi hizi za awali....Huisha Kwa maisha ni mwanzo wa maisha mengine
Mengine yatafuata baada ya kuwakabidhi hizi za awali....Huisha Kwa maisha ni mwanzo wa maisha mengine
Mwisho niliamuwa nikalale maana Mtebetini ulinichelewesha nkajua hauji....Huisha hakuna chenye mwanzo kikakosa mwisho
Jana!!! Mbona mi nimekesha humu usiku kucha...Hauji ?na umesubiriwa sana tokea jana
Usalama muhimu baada ya kuomba MunguKucha ?ulikuwa unalinda usalama?
Usiku wa nyota ya jaha karibu unakaribia. Hivyo wana JF wote Mwenyezi Mungu awajaaalie usiku mwema ninyi na familia zenu.Mungu anatupenda tunafahamiana humu kwenye jamvi basi nawatakia usiku mwema wachanguaji wote kwenye bandiko hili,nafunga virago hivi sasa ni saa 01:50 hrs usiku.
Familia zenu Na zetu tulipata usingizi mnonoUsiku wa nyota ya jaha karibu unakaribia. Hivyo wana JF wote Mwenyezi Mungu awajaaalie usiku mwema ninyi na familia zenu.
Mnono unoneke kwa waTanzania wamepata kiongozi mwenye kuwajaali......Familia zenu Na zetu tulipata usingizi mnono
Mnono unoneke kwa waTanzania wamepata kiongozi mwenye kuwajaali......
Serikali !! Nataka kuuliza serikali yangu, Lini tutaondokana na umasikini.....?Kuwajali Watanzania ni jukumu la kimsingi la viongozi wote wa vyama vya siasa na serikali.
Umaskini ni janga la kitaifaSerikali !! Nataka kuuliza serikali yangu, Lini tutaondokana na umasikini.....?
Kitaifa kinamtabulisha mTanzania ni mtu mnyonge kwa muonekano !!!!Umaskini ni janga la kitaifa
Muonekano wako ni mzuriKitaifa kinamtabulisha mTanzania ni mtu mnyonge kwa muonekano !!!!
Mzuri hutambulika kwa matendo mema na siyo kwa sura......Muonekano wako ni mzuri
Mvuto wanini ? ikiwa vipodozi vya kupamba na kupendezesha vimejaa madukani.....Sura mbaya haina mvuto
Madukani napo vipodoz ni fekiMvuto wanini ? ikiwa vipodozi vya kupamba na kupendezesha vimejaa madukani.....
Feki za kila aina zimeibuka katika jamii yetu, inabidi tukemee...Madukani napo vipodoz ni feki