Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Nchi yetu ninaipenda sana kwa imani nitaijenga....Flyover itasaidia kupunguza foleni Na itaongeza uchumi wa nchi yetu
Nchi yetu ninaipenda sana kwa imani nitaijenga....Flyover itasaidia kupunguza foleni Na itaongeza uchumi wa nchi yetu
Tunaijenga pole pole mpaka itakamilika hata kama hatuta kula matunda yako. Vizazi vijavyo vitakula matunda ya TanzaniaNchi yetu ninaipenda sana kwa imani nitaijenga....
Tanzania hainaga vizazi masikiwee, tumebarikiwa wahamiaji tuu... twajengee waje wengi !!Tunaijenga pole pole mpaka itakamilika hata kama hatuta kula matunda yako. Vizazi vijavyo vitakula matunda ya Tanzania
Sijakuelewa ZZ wengi wahamiaji?Wengi ...mi hata sijakuelewa
Sita kidogo maAfisa wanakushawishi umkatie laki mbili anakugongea mhuri wa kuondoka !!🙂Wahamiaji kukiona cha mtema kuni Serikali ya Magufuli, ukizidisha siku za kukaa laki 6 faini. Au jela miezi sita.
Kuondoka baada ya kugongewa ni afueni kuliko kwenda kuchezea miezi korokoroniSita kidogo maAfisa wanakushawishi umkatie laki mbili anakugongea mhuri wa kuondoka !!🙂
Siyo Sabuni ya kuogea ni lotion ya kujipaka !!!Mimi ndio mshindi (siyo sabuni)
Korokoroni kunauvumilivu kwa walo komaa....Kuondoka baada ya kugongewa ni afueni kuliko kwenda kuchezea miezi korokoroni
Komaa kuna kikomo cha uvumilivu hata ukiwa sugu kuna wakati uvumilivu utakushindaKorokoroni kunauvumilivu kwa walo komaa....
Utakushinda je Mtebetini Wakati una noti za Tanzania za zamani?Komaa kuna kikomo cha uvumilivu hata ukiwa sugu kuna wakati uvumilivu utakushinda
Utakushinda uvuvi baharini kuna mawimbi makubwa nawe huna mtumbwi....Komaa kuna kikomo cha uvumilivu hata ukiwa sugu kuna wakati uvumilivu utakushinda
Zamani haithaminiwi kwa uhalisia wa leo kimaisha japo .....Utakushinda je Mtebetini Wakati una noti za Tanzania za zamani?
Mtumbwi wanini ZZ siku hizi kuna Kawasaki za injini mbiliUtakushinda uvuvi baharini kuna mawimbi makubwa nawe huna mtumbwi....
Mtumbwi inawezekana nikawa sina basi sishindwi ngalawaUtakushinda uvuvi baharini kuna mawimbi makubwa nawe huna mtumbwi....
Japo kidogo Lakini ChanguZamani haithaminiwi kwa uhalisia wa leo kimaisha japo .....
Ngalawa tena wizara ya misitu wamepinga marufuku kukata mitiMtumbwi inawezekana nikawa sina basi sishindwi ngalawa
Miti mingi imekatwa na wanaJeshi.... siye tunazubaishwa na wizara ati marufuku !!!Ngalawa tena wizara ya misitu wamepinga marufuku kukata miti