Hapa atakeyeshinda naona ni Zamiluni.Marufuku Kupost hapa
Hapa ni pangu atakaeingia hatatoka ila kwa amri yangu mwenyewe.......Marufuku Kupost hapa
Zamiluni ameanda hafla kwa wote waliochangia uzi huu mwaliko upo njiani....Hapa atakeyeshinda naona ni Zamiluni.
Njiani nakuja mwenye maagizo na alete ifikapo kikomo cha uzi huu tutaburudika.....Zamiluni ameanda hafla kwa wote waliochangia uzi huu mwaliko upo njiani....
Njiani nakuja mwenye maagizo na alete ifikapo kikomo cha uzi huu tutaburudika.....
( mgogoone mtebetini Mainus amaizing Blaki Womani saiditawani , na wengine wema wote njooni..)
Ushindi upi unaoota wee bidada mrembo ZZ amelipania ubingwa huu pekee laa sivyo hakuna burudani.. !!
Kilimanjaro Band ya wana Njenje ya Mzee Njenje na Waziri aliyekuwa mpiga kinanda wa Msondo ngoma,Ngoma ya ukae.kufikia kilele cha mlima Kilimanjaro ?!!
Ukae bila kutetereka hapa (ZZ,Blaki woman ,Mtebetini,Mgoogone)wanakusubiri mpige mahesabuKilimanjaro Band ya wana Njenje ya Mzee Njenje na Waziri aliyekuwa mpiga kinanda wa Msondo ngoma,Ngoma ya ukae.
Mahesabu hayaishi inabidi tutumie alama ya infinite Au namba zinazoendelea bila kikomoUkae bila kutetereka hapa (ZZ,Blaki woman ,Mtebetini,Mgoogone)wanakusubiri mpige mahesabu
Kikomo ni kufika mwisho ila hapa bado hatujamaliza gameMahesabu hayaishi inabidi tutumie alama ya infinite Au namba zinazoendelea bila kikomo
Kikomo utasikia wakisema Kila kwenye matangazo Yao lakin hamna chochote vifurushi vinaishaMahesabu hayaishi inabidi tutumie alama ya infinite Au namba zinazoendelea bila kikomo
Vinaisha bila ya kutumbuliwa vzr majipu yao.Kikomo utasikia wakisema Kila kwenye matangazo Yao lakin hamna chochote vifurushi vinaisha
Yao Ni pesa yetu Ni manenoVinaisha bila ya kutumbuliwa vzr majipu yao.
Maneno mazuri hufugua milango ya rizkiYao Ni pesa yetu Ni maneno
Riziki ya mtu ipo nae hadi siku atakapo rudisha uhai na riziki yake huisha......Maneno mazuri hufugua milango ya rizki
Huisha Kwa maisha ni mwanzo wa maisha mengineRiziki ya mtu ipo nae hadi siku atakapo rudisha uhai na riziki yake huisha......
Huisha hakuna chenye mwanzo kikakosa mwishoRiziki ya mtu ipo nae hadi siku atakapo rudisha uhai na riziki yake huisha......