allykihamba
Member
- Sep 5, 2015
- 41
- 21
Tukemee kwa hasira ili jamii ijengeke
Ijengeke haswa maana maadili nu sifuriTukemee kwa hasira ili jamii ijengeke
ijengeke kama ule mjengo wa BOT...Tukemee kwa hasira ili jamii ijengeke
Sifuri katika hesabu ina wezesha kupandisha au kupunguza....Ijengeke haswa maana maadili nu sifuri
Moja ukiongeza sifuri tatu mbele itakua buku tatuSifuri ni namba ya kwanza kabla Ya kufika moja
Tatu na mabuku vipo kichwani mwa waTanzania kutwa kucha !!!Moja ukiongeza sifuri tatu mbele itakua buku tatu
Kuacha ndefu kwa msichana ni kufuga uchafuTatu na mabuku vipo kichwani mwa waTanzania kutwa kucha !!!
Washikaji wapo kijiweniTatu na Rachel ni washikaji
Uchafu gani ndugu.., usiwaingilie ktk uhuru wao !!😛Kuacha ndefu kwa msichana ni kufuga uchafu
Wengine wanajielewa baadhi yaoWao pia wanapaswa kushauriwa kma wengine
Yao ni kabila linalopatikana kusini mwa Tanzania na nchi ya Malawi, anyway hii thread bado haijafungwa?Wengine wanajielewa baadhi yao
Haijafungwa kwa kuwa haina makosa, tururudi kwenye makabilaYao ni kabila linalopatikana kusini mwa Tanzania na nchi ya Malawi, anyway hii thread bado haijafungwa?
Makabila ya Kilimanjaro ni ya watafutajiHaijafungwa kwa kuwa haina makosa, tururudi kwenye makabila