Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Baharini ninaenda kujitosa niliwe na papa au nimezwe na nyangumi.......Mchezo huu ni kuliko uharamia wa baharini.....
Baharini ninaenda kujitosa niliwe na papa au nimezwe na nyangumi.......Mchezo huu ni kuliko uharamia wa baharini.....
Mchezo huu ni kuliko uharamia wa baharini.....
Bahari ni km vita vya maisha mjinga anazama na muerevu anaendelea na maisha mbele hatozama
hatozama maana anajua kupiga mbizi vizuri
Baharini ninaenda kujitosa niliwe na papa au nimezwe na nyangumi.......
Vizuri ndivo vinavowaponza dada zetu sjui chips kuku mwisho wanaukwaa
nyangumi ni mnyama mkubwa sana
Sana sana hupatikana red sea ila unaijua au unaisikia
unaisikia hiyo filimbi mtaa wa jirani
Atakufa yeye kwanza mimi naogopa kuanzaTime ikifika kila mtu atakufa
Atakufa yeye kwanza mimi naogopa kuanza
Mgambo ndio chambo hamna namna lazima tuwaweke kwenye ndoanoKuanza kubaya maana ni sawa kwenye vita kutangulizwa mgambo
Mgambo ndio chambo hamna namna lazima tuwaweke kwenye ndoano
inamatatizo na sio kidogo wanandoa mpaka anaamua kujiuaNdoano ndoa ndoano ni msemo wa waswahili ndoa ikiwa inamatatizo
Kujiua ni jambo la kawaida kwa kabila la wahehe mkoani iringa kuonyesha kukataa tamaa au ushujaa
Ushujaa ni imani ya mtu kama ZZ mwenye kupambana na changamoto za maisha...Kujiua ni jambo la kawaida kwa kabila la wahehe mkoani iringa kuonyesha kukataa tamaa au ushujaa
Wameshindwa kumaliza mbio za mwenge !!!ushujaa huonekana pale unapofanya kitu sahihi wengine wameshindwa
Maisha yanachangamoto zake kama hutakuwa makiniUshujaa ni imani ya mtu kama ZZ mwenye kupambana na changamoto za maisha...