MamaaRehema
Member
- Feb 13, 2014
- 78
- 18
Kulala alale nani kila mtu yuko macho mpaka kieleweke.
Kieleweke kikombe ni cha nani.. baada ya mlolongo wa kuvamiaKulala alale nani kila mtu yuko macho mpaka kieleweke.
Selfie inataka ujuzi kupiga picha ipendezeApite daraja la kigamboni usiku halafu apige selfie.
Selfie zimekithiri hata bila sababu ya lazima ilimradi kujitoaApite daraja la kigamboni usiku halafu apige selfie.
Kujitoa kwenye darasa hili ni lazimaSelfie zimekithiri hata bila sababu ya lazima ilimradi kujitoa
Kieleweke kikombe ni cha nani.. baada ya mlolongo wa kuvamia
Utalazimishwa kulipa kodi ya makoneta yako yote uliyopitisha kiujanja....Lazima kama utalwzimishwa
Kombe nimeliegesha kabatini nionekane Bingwa ZZ....kuvamia sio shida cha msingi kombe
ZZ hawezi kushinda labda kwa mizengweKombe nimeliegesha kabatini nionekane Bingwa ZZ....
Mizenngwe hiyo ni ya kikwenu, wakati ZZ kwake jitihada na ufanisi wa kutwaa ubingwa..ZZ hawezi kushinda labda kwa mizengwe
Ubingwa labda kombe la mbuzi kombe la mchangani utalisikia kwa jiraniMizenngwe hiyo ni ya kikwenu, wakati ZZ kwake jitihada na ufanisi wa kutwaa ubingwa..
Jirani zangu wapo namie kamwe hawatanitupa sababu ZZ ni mkombozi ....Ubingwa labda kombe la mbuzi kombe la mchangani utalisikia kwa jirani
Mkombozi bank ilihusika kutoa pesa kwa masandarusi za wenye menoJirani zangu wapo namie kamwe hawatanitupa sababu ZZ ni mkombozi ....
Meno yako meupee kama ivory, ukicheka unanizuzua haswa !!Mkombozi bank ilihusika kutoa pesa kwa masandarusi za wenye meno
Haswa linapochanganywa na moja la dhahabu!Meno yako meupee kama ivory, ukicheka unanizuzua haswa !!
Dhahabu kwenye jino looh !! mbona utanitoa nduki.......Haswa linapochanganywa na moja la dhahabu!
Nduki kwa sababu gani?Dhahabu kwenye jino looh !! mbona utanitoa nduki.......
Gani swali linalokusumbua?Nduki kwa sababu gani?