Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Linalo kusumbuwa mwenzangu Mainus ni kutojiamini ktk kupiga hatuwaGani swali linalokusumbua?
Linalo kusumbuwa mwenzangu Mainus ni kutojiamini ktk kupiga hatuwaGani swali linalokusumbua?
Linalokusumbua wewe lilete hapa jfGani swali linalokusumbua?
Linalokusumbua mweleze unayemwamini akusaidie mawazoGani swali linalokusumbua?
Hatua moja huanzisha nyingineLinalo kusumbuwa mwenzangu Mainus ni kutojiamini ktk kupiga hatuwa
Mawazo pekee hayatoshi ni lazima kwa vitendo...Linalokusumbua mweleze unayemwamini akusaidie mawazo
Vitendo vyake haviendani na alivyoMawazo pekee hayatoshi ni lazima kwa vitendo...
Alivyo kuwa mkali yaonesha hawezi kumsamehe....Vitendo vyake haviendani na alivyo
Alivyo kuwa mkali yaonesha hawezi kumsamehe....
Alivyo kuwa mkali yaonesha hawezi kumsamehe....
Kosa ni mara moja tu, bali kurudia makosa ni uzembe....Kumsamehe itategemea na kosa
Uzembe umemsababishia kufukuzwa kaziKosa ni mara moja tu, bali kurudia makosa ni uzembe....
Kazi kuuza sura kwenye mitandaoUzembe umemsababishia kufukuzwa kazi
Mitandao ya kijamii imekithiri na kuwalemaza vizazi vipya ...Kazi kuuza sura kwenye mitandao
Vipya vinatokea kila sikuMitandao ya kijamii imekithiri na kuwalemaza vizazi vipya ...
Siku kama hii ntakuwa wapi?Vipya vinatokea kila siku
Siku kama hii ntakuwa wapi?
Mwisho ni pale kwenye bonde kuu, angalia usijipeleke huko bila tahadhari.....Wapi unamaanisha nini mm nataka huu uzi ufutwe tu maana hauna mwisho
Kila siku washikaji wa ligi hi wanafikiri watashinda.Hata mkibadilisha magoliVipya vinatokea kila siku
Mchezo huu ni kuliko uharamia wa baharini.....mwisho wa ubaya ni aibu
hahahahahahaha nimeupenda mchezo