oyayakaranga
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 677
- 397
Mgombea mwenza Wa wamwisho ndo mshindi ndugu zamiluni hatujapotea tupo sema tunalekebisha mambo mengine ili maisha yaende vizuri
Mgombea mwenza Wa wamwisho ndo mshindi ndugu zamiluni hatujapotea tupo sema tunalekebisha mambo mengine ili maisha yaende vizuri
Vizuri ninapo ona unajijenga vizuri ni fahari yangu kwako...Mgombea mwenza Wa wamwisho ndo mshindi ndugu zamiluni hatujapotea tupo sema tunalekebisha mambo mengine ili maisha yaende vizuri
Vizuri umekomboa, hivyo Zamiluni sio wa mwisho tenaMgombea mwenza Wa wamwisho ndo mshindi ndugu zamiluni hatujapotea tupo sema tunalekebisha mambo mengine ili maisha yaende vizuri
Kwako wapi?Vizuri ninapo ona unajijenga vizuri ni fahari yangu kwako...
Wapi tunakoelekea waTanzania baada ya kutumbuliwa majipu!!Kwako wapi?
Majipu mengine ni matambazaWapi tunakoelekea waTanzania baada ya kutumbuliwa majipu!!
Matambaza au matambazi?Majipu mengine ni matambaza
Matambazi lazima utibike Laa sivyo hujichopoza mwilini...Matambaza au matambazi?
Mwilini mwake kote kuna chale then anasema anatemea kudraMatambazi lazima utibike Laa sivyo hujichopoza mwilini...
Kudra hushinda jitihada ila aendelee kujitahidi ataponaMwilini mwake kote kuna chale then anasema anatemea kudra
Atapona mtu hapa kweli, baada ya saa 2 tu natangaza ushindiiiiiiii.....Kudra hushinda jitihada ila aendelee kujitahidi atapona
Mshindi wa kweli kabisa ilikuwa ni ZZ ila mumemuharibia ubingwaMimi ndo mshindi
R mbuna bwana ee, hapa siye tumekesha usiku mchana, uje wee unyakuwe ubingwa kiurahisi!!Ubingwa ni wa R Mbuna
Ubingwa ulikuwa mkononi sijui vipi Simba kuduwaa.....Technic nzuri ni njia moja wapo kuelekea ubingwa...
kuduwaa ndio utaratibu wa simba mbele ya toto lazima afunikwe au afanyiwe zamiluni zamiluniUbingwa ulikuwa mkononi sijui vipi Simba kuduwaa.....