Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Macho yako ni kiungo chenye thamani kubwa lazima ukitunzeYangu macho
Macho yako ni kiungo chenye thamani kubwa lazima ukitunzeYangu macho
Ukitunze sana kile ulicho nacho asije mwizi akakiibaMacho yako ni kiungo chenye thamani kubwa lazima ukitunze
Akakiiba kile kinanda cha mjomba wake alipo ulizwa hakujibuUkitunze sana kile ulicho nacho asije mwizi akakiiba
Hakujibu kwasababu anajua fika jibu lolote lingemkost kurudishwa kijijini matomboAkakiiba kile kinanda cha mjomba wake alipo ulizwa hakujibu
Matombo, kisaki na Mkuyuni hadi Morogoro ni mwendo wa saa mbili na nusu !!Hakujibu kwasababu anajua fika jibu lolote lingemkost kurudishwa kijijini matombo
Nusu ya watz ni wapigajiMatombo, kisaki na Mkuyuni hadi Morogoro ni mwendo wa saa mbili na nusu !!
Wapigaji nini jamani..? Sinaambiwa waTZ ni bongo mtu ?!Nusu ya watz ni wapigaji
Mtu analipwa laki na nusu ananyumba 7 na gari na hafanyi biasharaWapigaji nini jamani..? Sinaambiwa waTZ ni bongo mtu ?!
Ushindi gani wakati unaaharibu utaratibu kaa pembeni acha wanaijua waendelee unazingua unazingua kama id yako hivi umetokea wapi kila siku huelewi Uzi unaendajeMtu atakayechangia uzi huu atakuwa amenipa ushindi
biashara ni hadhi na bahati, kwani wengi hufanya biashara ila hawatajirikiMtu analipwa laki na nusu ananyumba 7 na gari na hafanyi biashara
Unaendaje kwenu ndugu OyayaKaranga kwa kutumia usafiri wa anga au barabara ?Ushindi gani wakati unaaharibu utaratibu kaa pembeni acha wanaijua waendelee unazingua unazingua kama id yako hivi umetokea wapi kila siku huelewi Uzi unaendaje
Unaendaje ? unatembea kama unarudi nyumaUshindi gani wakati unaaharibu utaratibu kaa pembeni acha wanaijua waendelee unazingua unazingua kama id yako hivi umetokea wapi kila siku huelewi Uzi unaendaje
Nyuma ya malorry na mabasi kuna maandiko ya vijembe na kusimangana !!Unaendaje ? unatembea kama unarudi nyuma
Kusimangana huku ktk mitandao hakuna mwishoNyuma ya malorry na mabasi kuna maandiko ya vijembe na kusimangana !!
Nyuma ya malorry na mabasi kuna maandiko ya vijembe na kusimangana !!
Taarabu ni moja ya sanaa zenye kuleta utulivu wa bongo mwili na burudani![]()
![]()
Kusimangana kama taarabu
Burudani ni enzi zile, siku hizi taarabu ina wacheza vidukuTaarabu ni moja ya sanaa zenye kuleta utulivu wa bongo mwili na burudani
Viduku huku kwetu ni marufuku, siye ni al-watan members onlyBurudani ni enzi zile, siku hizi taarabu ina wacheza viduku
Members only mmesalimu amri.. saiditawani oyayakaranga Mainus MgoViduku huku kwetu ni marufuku, siye ni al-watan members only