kubwa_Lao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 934
- 1,186
daraja la kigamboni ni mlango wa mkuu wa kukuza uchumi wa watu wa kigamboni![]()
![]()
Namsitiri kama walivyositirika watu wa kigamboni kwa kujengewa Daraja
daraja la kigamboni ni mlango wa mkuu wa kukuza uchumi wa watu wa kigamboni![]()
![]()
Namsitiri kama walivyositirika watu wa kigamboni kwa kujengewa Daraja
Kigamboni kunapata maendeleo ya ajabu.Tanzania Na kupendana.daraja la kigamboni ni mlango wa mkuu wa kukuza uchumi wa watu wa kigamboni
Kupendana bila pesa ni uongoKigamboni kunapata maendeleo ya ajabu.Tanzania Na kupendana.
Maendeleo yanaletwa Na wazalendoUongo ukizidi sana unaharibu maendeleo
Wazalendo wa kizazi kipya hawaeleweki.....Maendeleo yanaletwa Na wazalendo
Hawaeleweki Kwa sababu wamezoweya vya kunyonga Sasa vya kuchinja hawawezi.Wazalendo wa kizazi kipya hawaeleweki.....
Hawawezi kuwa na maadili mazuri kama wazazi wao walotangulia...Hawaeleweki Kwa sababu wamezoweya vya kunyonga Sasa vya kuchinja hawawezi.
Walotangulia walitusafishia njia ili sisi tupite bila shaka lolote.Hawawezi kuwa na maadili mazuri kama wazazi wao walotangulia...
Lolote litakalo kuwa nitampeleka mwajiri wangu mahakamaniWalotangulia walitusafishia njia ili sisi tupite bila shaka lolote.
Sana Mainus umekuwa mtoro wa shule na mkwepaji wa hiki kipindi...Mahakamani ni sehemu mbaya sana
Sana usingizi wako mzito, mara nyingine utapitwa na vingi......Kipindi kilinipita kwasababu nililala sana
Vingi vigezo hutumika ktk kupata mkopoSana usingizi wako mzito, mara nyingine utapitwa na vingi......
Mkopo wa mwisho na wa kwanza nilikupuwa mwaka 2010 lakini sikufaidiVingi vigezo hutumika ktk kupata mkopo
Mimi na wewe tuna safari ndefu kupata ushindiSikufaidi hasa nilipogundua kila mtu kaniachia ushindi huu mimi
Mimi sijisifii, japo nimewashinda ila JECHA kaninyima haki yangu !!!!!Sikufaidi hasa nilipogundua kila mtu kaniachia ushindi huu mimi
Ushindi umezuliwa kutangazwa tumebaki kuranda randa...Mimi na wewe tuna safari ndefu kupata ushindi
Yangu machoMimi sijisifii, japo nimewashinda ila JECHA kaninyima haki yangu !!!!!