Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Wanaume tunapishana ktk hisia.....Mvuto wake unawachanganya wanaune
Wanaume tunapishana ktk hisia.....Mvuto wake unawachanganya wanaune
Mweupe mie hupenda weusi Tii.. na weusi hupenda weupe Pee....Mvuto Ni msichana mweusi Na sio mweupe
Pee.. Alisikika akilia baada ya kudondokaMweupe mie hupenda weusi Tii.. na weusi hupenda weupe Pee....
Kudondoka chini kichanga pwaa !! kuliwashtuwa manesi pale wodini....Pee.. Alisikika akilia baada ya kudondoka
Wodini mpeleke alisikika docta wa zamuKudondoka chini kichanga pwaa !! kuliwashtuwa manesi pale wodini....
Zamu yangu sasa imefika sina budi nilivalie njuga !!!Wodini mpeleke alisikika docta wa zamu
Nini hata Mimi sijuiNjuga kwa kingereza ni nini?
Sijui ni lini mshindi atapatikana ktk hili shindano.Nini hata Mimi sijui
nini hizi njuga wazivaao FFU ni Full gear (boti) nsiyo kwa kingereza....Njuga kwa kingereza ni nini?
Shindano hili ni langu japo wengi mnanilia timing japo wapo waliododa !!Sijui ni lini mshindi atapatikana ktk hili shindano.
Waliododa ni wengi, japo umekaza mwisho haufiki!Shindano hili ni langu japo wengi mnanilia timing japo wapo waliododa !!
Haufiki huko maana mwendo ni mrefu na unapadisha kilima hadi kileleniWaliododa ni wengi, japo umekaza mwisho haufiki!
Kileleni sio mwisho wa mchezo.Haufiki huko maana mwendo ni mrefu na unapadisha kilima hadi kileleni
Mchezo mpya wa Kielectroniki unaongozwa na shirika la SONY Ps4Kileleni sio mwisho wa mchezo.
Sony Ps4 ishatoka???Mchezo mpya wa Kielectroniki unaongozwa na shirika la SONY Ps4
P imerithiwa na Sony X-box IIIs zipo madukani....Sony Ps4 ishatoka???
Madukani kumbe zipo!!! Japo sio mpenzi wa hizi Ps, huwa naziona dukani kwa mshikaji ila ni Ps3P imerithiwa na Sony X-box IIIs zipo madukani....
Ps3 ilirithiwa na Ps4, bei yake haijashuka hivyo...Madukani kumbe zipo!!! Japo sio mpenzi wa hizi Ps, huwa naziona dukani kwa mshikaji ila ni Ps3
Hivyo ni juu ya mtaka Ps kuchagua anayo afford.Ps3 ilirithiwa na Ps4, bei yake haijashuka hivyo...