Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Kamusi langu ni bongo faswaha, tatizo la Ashrafu ni mgeni katika uwanja wa mapambano..Ushind hwez kupata zamilun wakt maneno mengne anaiba kwenye kamus
Kamusi langu ni bongo faswaha, tatizo la Ashrafu ni mgeni katika uwanja wa mapambano..Ushind hwez kupata zamilun wakt maneno mengne anaiba kwenye kamus
Mapambano ndo mgen nam lkn mm so mgen wa mapambano zamiluniKamusi langu ni bongo faswaha, tatizo la Ashrafu ni mgeni katika uwanja wa mapambano..
Zamiluni anakukaribisha ushike usukani na kutuongooza huu msafara.....Mapambano ndo mgen nam lkn mm so mgen wa mapambano zamiluni
Msafara ndo huo naanza kuusongesha asante kwa kuniamin na kunpa majukumu mazito unkown zamilunZamiluni anakukaribisha ushike usukani na kutuongooza huu msafara.....
Mazito yote kwako naamini Ashrafu utayamudu.. Nahodha hufa na chombo kifike bandarini...Msafara ndo huo naanza kuusongesha asante kwa kuniamin na kunpa majukumu mazito unkown zamilun
Bandarini tutafka na wote tunashuka salamaMazito yote kwako naamini Ashrafu utayamudu.. Nahodha hufa na chombo kifike bandarini...
Salama Ni condom inayotumika kwenye tendo la ndoaBandarini tutafka na wote tunashuka salama
Salama Salmini ilimradi mizigo ya wafanyabiashara ifike bila kuchakachuliwa....!!Bandarini tutafka na wote tunashuka salama
Ndoa ndoanoSalama Ni condom inayotumika kwenye tendo la ndoa
Kuchakachuliwa haiwezekan kwan nahodha nnaroho ya castoSalama Salmini ilimradi mizigo ya wafanyabiashara ifike bila kuchakachuliwa....!!
Castro ni baharia mzoefu na mwaminifu ispokuwa wale makuli wapakuzi sina imaniKuchakachuliwa haiwezekan kwan nahodha nnaroho ya casto
Iman Ni mambo yatarajiwayoCastro ni baharia mzoefu na mwaminifu ispokuwa wale makuli wapakuzi sina imani
Yatarajiwayo ni Tanzania mpya yenye viwanda.....Iman Ni mambo yatarajiwayo
Imani inibid uwe nayo tuu captain si npoCastro ni baharia mzoefu na mwaminifu ispokuwa wale makuli wapakuzi sina imani
Nipo nawe usijali sintokutupa mkono hadi uweze kutuongoza....Imani inibid uwe nayo tuu captain si npo
Viwanda vingi vinazidi kupunguza ajira kwa vijana wakati sera ya CCM itawapa vijana ajiraYatarajiwayo ni Tanzania mpya yenye viwanda.....
Ajira zipo nyingi ila vijana wengi hupenda kuanzia ngazi za juu kwa kuwa ati wasomi....Viwanda vingi vinazidi kupunguza ajira kwa vijana wakati sera ya CCM itawapa vijana ajira
Wasomi wengi wanapenda kuajiliwa Na sio kujiajili Ili waajiriAjira zipo nyingi ila vijana wengi hupenda kuanzia ngazi za juu kwa kuwa ati wasomi....
Nyie na siye tuungane kuwa wamoja, baadae tuanze migogoro kama ya MUUNGANO wa TZ !!!Kutuongoza wote anaweza mungu lkn mm ntamuomba anisaidie kuwaongoza nyie