Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Wowote ni matokeo ya kukata tamaa
Tamaa mbele mauti nyuma
Wowote ni matokeo ya kukata tamaa
Tamaa mbayaWowote ni matokeo ya kukata tamaa
Mbaya ya yote ni kuwafitini wana ndoa waachaneTamaa mbaya
Waachane Kwa sababu gani wakati wanapendana.Mbaya ya yote ni kuwafitini wana ndoa waachane
Wanapendana kiasi ya kuonewa wivu na wale washenziWaachane Kwa sababu gani wakati wanapendana.
Wanapendana sana kwa hivyo fitna inapita Kwa mbaliWaachane Kwa sababu gani wakati wanapendana.
Apa wapi weweWashenzi nyie mi ndo wa mwisho asicoment tena mtu apa
Wewe mbere hivi unafikiri niniApa wapi wewe
Mwisho wa barabara hii kuna shimo la takataka !!!Nini kwani nataka kuwa wa mwisho
Takataka ziko kila sehemu za majijiMwisho wa barabara hii kuna shimo la takataka !!!
Majiji yetu ni mazuri ila watendaji wa manispa wa mapungufuTakataka ziko kila sehemu za majiji
Mapungufu ndio sababu tuko nyumaMajiji yetu ni mazuri ila watendaji wa manispa wa mapungufu
Washenz kama hao haina haja ya kuwapenda mpka uwaonee wivuWanapendana kiasi ya kuonewa wivu na wale washenzi
Dar !!! mmmh kwa mtazmo wangu Dar ni jiji lenye radhi,jiji lenye masikio ya kufa...Mapungufu ndio sababu tuko nyuma
Makonda anajitahidi kusafisha Dar
Wivu ni umbile kila mmoja analo.., inapaswa usiendekeze kuonea watu wivu kwa neema walojaaliwa....Washenz kama hao haina haja ya kuwapenda mpka uwaonee wivu
Walojaaliwa haikuwa neema kubwa kias watu wawaonee wivu zamiluniWivu ni umbile kila mmoja analo.., inapaswa usiendekeze kuonea watu wivu kwa neema walojaaliwa....
Zamiluni alishajitangaza mshindi siku nyingi ila wenye wivu hawajatoa ushindi !!Walojaaliwa haikuwa neema kubwa kias watu wawaonee wivu zamiluni
Ushind hwez kupata zamilun wakt maneno mengne anaiba kwenye kamusZamiluni alishajitangaza mshindi siku nyingi ila wenye wivu hawajatoa ushindi !!