Mtanzanika
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,389
- 1,131
Kukupitia nitakupitia kila siku asubuhi mchana na jioni mpaka ushindwe kutembea.
Kutembea bila pesa hakufai ktk dunia ya leoKukupitia nitakupitia kila siku asubuhi mchana na jioni mpaka ushindwe kutembea.
Leo sijaangalia mechi nani kashindaKutembea bila pesa hakufai ktk dunia ya leo
Kashinda Zamiluni Z SC.. kawabwaga midume na mijike yote na kuibua kombe....Leo sijaangalia mechi nani kashinda
Apite aende wapiKombe lifunike mwanaharamu apite
unalo moyoni au kichwaniWapi unauliza wakati jibu unalo
Kichwani amwambie usiku umekuwa mwingi apite akalaleunalo moyoni au kichwani
Hana anywe bia atapata tuuAkalale wakati usingizi hana
Sentensi naianza Kwa raha zisizoisha Mshindi hapatikani mpaka filimbi ya mwisho.Tuu hili andiko linapendwa sana kuandikwa kwenye huu Uzi katika kumalizia sentensi
Mwisho wa dunia unakarbia, wapendwa twendeni kanisaniSentensi naianza Kwa raha zisizoisha Mshindi hapatikani mpaka filimbi ya mwisho.
Leo ndiyo leo asemae kesho muongoKanisani nimeenda nimependa mahuburi ya leo
Muongo ni anaejiona atakuwa mshindi kwenye huu uziLeo ndiyo leo asemae kesho muongo
Uzi huo ni wakazi gani kushonea nguo?Muongo ni anaejiona atakuwa mshindi kwenye huu uzi
Nguo hushonwa wakati wowoteUzi huo ni wakazi gani kushonea nguo?
Wowote ni matokeo ya kukata tamaaNguo hushonwa wakati wowote