amaizing
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 3,616
- 12,398
Unakijua kijiji cha nkwarungoUasilia wa kitu hadi uwe unakijua
Unakijua kijiji cha nkwarungoUasilia wa kitu hadi uwe unakijua
Nkwarungo wanalima sana viaziUnakijua kijiji cha nkwarungo
Uswaa ni sawasawa na sehemu yeyote ya Uswahilini.Kwetu machame Uswaa
Mbwa ni asiefata mashart ya huu uzi kwa kutoanzia alipoishia mwenzio anakera sanaNahamia Tandale kwa Mfuga Mbwa
Sana ndg yng. Inakera mno mtu asiyeanzia pale mwenzake alipoishia.Mbwa ni asiefata mashart ya huu uzi kwa kutoanzia alipoishia mwenzio anakera sana
Sana ndg yng. Inakera mno mtu asiyeanzia pale mwenzake alipoishia.
Nyingine pia inatakiwa ianze ilipoishia nyingineALipoishi mwenzako ndio mwanzo wa sentensi nyingine
Nyingine inahitajika baada ya ile ya mwanzoNyingine pia inatakiwa ianze ilipoishia nyingine
Mwanzo wa sred hii upo ila hakuna wa mwishoNyingine inahitajika baada ya ile ya mwanzo
Mwisho ukifika hapatakuwa na wachangiajiMwanzo wa sred hii upo ila hakuna wa mwisho
tu tu tu tu!!!! mlio wa bastola huoMwisho wake utafika tu
Mwisho wake utafika tu
Tunda lina maana nyingi siku hizi..Hata papuchi inaitwa tundaTu plus nda is equal to Tunda
Tunda lina maana nyingi siku hizi..Hata papuchi inaitwa tunda
Huo ni Uzi usio na mshinditu tu tu tu!!!! mlio wa bastola huo
Utakubali nikilila bila kumenya?Tunda aina ya papuchi nikikupa utakubali?