Mainus
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 295
- 238
Tusitake kula ili tumaintainKodi zinazokusanywa ni za zamani na mabaki..ila kiliyo chaja kwa kasi mwaka 2016 hakuna incoming revenue...tutake tusitake!!
Tusitake kula ili tumaintainKodi zinazokusanywa ni za zamani na mabaki..ila kiliyo chaja kwa kasi mwaka 2016 hakuna incoming revenue...tutake tusitake!!
Tusitake kula ili tumaintain
Vimbaumbau kutokana wanashindia pombe wanaacha Kula vizuri nabwanapenda kuhongaTumaintain wakati wengine ni vimbaumbau
Kuhonga tena hii kaliVimbaumbau kutokana wanashindia pombe wanaacha Kula vizuri nabwanapenda kuhonga
Kali ni kula chakula huku unakomba mboga.Kuhonga tena hii kali
Arusha ni jiji la maraha.Kali zote zipo Arusha
Mboga gani umefika wewe mwanamke iliaikika sauti yenye hasira mgawani huku watu wote wakibaki kumwangaliaKali ni kula chakula huku unakomba mboga.
Kumwangalia mwanamke mzuri akioga bafuni huleta hisia nzr akilini.Mboga gani umefika wewe mwanamke iliaikika sauti yenye hasira mgawani huku watu wote wakibaki kumwangalia
Maraha ya kila ainaArusha ni jiji la maraha.
Aina mbalimbali za wasichana wazuri ni pambo la dunia.Maraha ya kila aina
Angalia bwa'mdogo napopita napaona -nako 2 nakoMboga gani umefika wewe mwanamke iliaikika sauti yenye hasira mgawani huku watu wote wakibaki kumwangalia
Nako 2 nako ilitisha kama mahakama za GACHACHA.Angalia bwa'mdogo napopita napaona -nako 2 nako
Mzima ukiwa na afya nzuri haijalishi shepu wala umbo !!Vimbaumbau ndo mpango mzima
Umbo lake lilivuria wanaume wengi kiasi kwamba alipokuwa akipita hata wanawake wenzie walikuwa wakimtizama Na kwamaringo alitembea taratibuMzima ukiwa na afya nzuri haijalishi shepu wala umbo !!
Baraka ziko kwa makapukuTaratibu ndio mwendo haraka haraka haina baraka
Makapuku wenyew watenda dhambi mpaka mibaraka inakimbiaBaraka ziko kwa makapuku
Inakimbia kwenda wapi?lazima ibaki kule kwa makapukuMakapuka wenyew watenda dhambi mpaka mibaraka inakimbia