mwenyewe ndio mimi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 347
- 212
Sana tena tunazipenda balaaaNguo za mitumba Ni Nguo zinazotumiwa Na watanzania Na East Africa nzima kwa muda mrefu sana
Sana tena tunazipenda balaaaNguo za mitumba Ni Nguo zinazotumiwa Na watanzania Na East Africa nzima kwa muda mrefu sana
Balaa lilitokea juzi nilipo kuwa Kahama baada ya kusikia risasi zikilindima kiasi kila mtu akitoka ndukiSana tena tunazipenda balaaa
Kuchanganyikiwa Ni kitendo cha mtu kuto jielewa nini anachokifanyabalaa mpaka nahisi kuchanganyikiwa
Kuchanganyikiwa vipi mwenzangu na Mie nipo...La yumkini nikutupebalaa mpaka nahisi kuchanganyikiwa
anachokifanya mkuu wa upelelezi kuhusu kesi za jinai ni utaalamu....Kuchanganyikiwa Ni kitendo cha mtu kuto jielewa nini anachokifanya
Nikutupe chini Ili uleKuchanganyikiwa vipi mwenzangu na Mie nipo...La yumkini nikutupe
Ule wakati ngumuNikutupe chini Ili ule
Utaalamu utahitajika kufanya huo upelelezianachokifanya mkuu wa upelelezi kuhusu kesi za jinai ni utaalamu....
Upelelezi huo ulimfanya aishiwe nguvu baada ya kujua kuwa anaweza kukosa kaziUtaalamu utahitajika kufanya huo upelelezi
Upelelezi ni hatua ya kwanza ikifuatiwa na mashahidi....Utaalamu utahitajika kufanya huo upelelezi
Upelelezi na ujasusi unaendanaUtaalamu utahitajika kufanya huo upelelezi
Upelelezi na ujasusi unaendana
Unaendana kwa mtazamo wako tu, Hayo ni mambo mawili tofauti moja ni ruhusa ingine ni usaliti na uhaini.....Upelelezi na ujasusi unaendana
Ufisadi unazidi kuzitafuna nchi masikini zaidi barani Afrika.Unaendana kama CCM inavyoendana na ufisadi
Ufisadi kwa awamu hii itakuwa Ni malizako au za baba yakoUnaendana kama CCM inavyoendana na ufisadi
Ufisadi wa TZ umesababisha mzunguko wa fedha kukwamisha uchumiUnaendana kama CCM inavyoendana na ufisadi
Uchumi kwa sasa umepanda hasa kwenye kukusanya kodiUfisadi wa TZ umesababisha mzunguko wa fedha kukwamisha uchumi
Kodi zinazokusanywa ni za zamani na mabaki..ila kiliyo chaja kwa kasi mwaka 2016 hakuna incoming revenue...tutake tusitake!!Uchumi kwa sasa umepanda hasa kwenye kukusanya kodi
Tusitake tutake lazima watumishi hewa wakamatweKodi zinazokusanywa ni za zamani na mabaki..ila kiliyo chaja kwa kasi mwaka 2016 hakuna incoming revenue...tutake tusitake!!