Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Upepo wa baridi na wa joto huleta sintofahamukutokea China mpaka Kkoo sijui zilikuja kwa upepo
Upepo wa baridi na wa joto huleta sintofahamukutokea China mpaka Kkoo sijui zilikuja kwa upepo
Mlimani impoza...sana ila sio kama wa mlimani
mlimani impoza pamebadilishwa jina[/QUOTE
Jina lako na unachofanya vinaendana maana una minus neno la mwisho unalotakiwa kuanza nalo
Jamaa zangu ujamaa umetushinda ubepari nao unaelekea kutushindaNalo neno cjui anaelekea wap huyu jamaa
Kutushinda wametushinda lakini haieleweki wameshindajeJamaa zangu ujamaa umetushinda ubepari nao unaelekea kutushinda
Gerezani ni sehemu ya kumrekebisha mhalifu kuwa raia mwemaWamefungwa? Wamepelekwa Gerezani?!!!
Mwema Ni jina la aliekuwa Kiongozi wa jeshi la polisiGerezani ni sehemu ya kumrekebisha mhalifu kuwa raia mwema
Wananchi wengi kwa sasa nchin wameelimika Na kutokea kujitambua hivyo viongozi kwasasa waache Siasa haswa katika karne ya sasaPolisi ni idara moja ya kulinda Amani na mali za wananchi...
Sasa ni wakati muafaka wa kujenga uaminifu na uwajibikaji ili taifa lisonge mbele vilivyo..W
Wananchi wengi kwa sasa nchin wameelimika Na kutokea kujitambua hivyo viongozi kwasasa waache Siasa haswa katika karne ya sasa
Vilivyo kuwa kwenye friji Ni vyabalidi Sana Sana aisee kiasi kwamba vimegandaSasa ni wakati muafaka wa kujenga uaminifu na uwajibikaji ili taifa lisonge mbele vilivyo..
Vimeganda mda mrefu hivyo vitoe na uweke vingine navyo vigandeVi
Vilivyo kuwa kwenye friji Ni vyabalidi Sana Sana aisee kiasi kwamba vimeganda
Vigande huko huko juu aisee maana kwa sasa Kuna joto Sana kiasi kwamba unaweza kulala uchiVimeganda mda mrefu hivyo vitoe na uweke vingine navyo vigande
Kulala uchi??mwenzetu unaishi wapi maana hata dar saiz hakuna joto kali kiasi ulale bila nguoVigande huko huko juu aisee maana kwa sasa Kuna joto Sana kiasi kwamba unaweza kulala uchi
Nguo za mitumba Ni Nguo zinazotumiwa Na watanzania Na East Africa nzima kwa muda mrefu sanaKulala uchi??mwenzetu unaishi wapi maana hata dar saiz hakuna joto kali kiasi ulale bila nguo