Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Mafisadi wana mtandao wao imara, wana utajiri wa kununa sharia ....Huko ndiko kulindana kwa mafisadi
Mafisadi wana mtandao wao imara, wana utajiri wa kununa sharia ....Huko ndiko kulindana kwa mafisadi
Sheria ni kwa watu wa chini......vigogo wanacheza na notiMafisadi wana mtandao wao imara, wana utajiri wa kununa sharia ....
Noti sio kigezo Kama ilivyo kuwa zamani maana haki ilikuwa inauzwa.Sheria ni kwa watu wa chini......vigogo wanacheza na noti
inauzwa na nani nawapi? tuliza mushkeliNoti sio kigezo Kama ilivyo kuwa zamani maana haki ilikuwa inauzwa.
Mushkeli sina ila nawaje pesa yangu itarudi?inauzwa na nani nawapi? tuliza mushkeli
Mushkeli sina ila nawaje pesa yangu itarudi?
WaBongo wengi ktk miaka ya nyuma walikata tamaa ya maisha.Mtandao wa maisha Ulikuwa mgumu kuingia Kama humjui mtu wa serekali.Maana hakuna atakaye kaa benchi ktk hii ngoma kila mtu atacheza tena Kwa furaha.hii ndio jamii ya WaBongo.
Kukurupuka kwake kumemponzaNaota ndoto tena nikistuka najikuta naharibu mtiririko wa huu Uzi kwa kukurupuka
Hizi smartyFone zinafedhehesha hata vigogowake za watu ndo wanoongoza siku hizi
vigogo wametumbuliwa siku hizi wanatumia ItelHizi smartyFone zinafedhehesha hata vigogo
Itel simu ya ajabu kuwahi kutokeavigogo wametumbuliwa siku hizi wanatumia Itel
kutokea China mpaka Kkoo sijui zilikuja kwa upepoItel simu ya ajabu kuwahi kutokea
kutokea China mpaka Kkoo sijui zilikuja kwa upepo
sana ila sio kama wa mlimaniUpepo wa bahari ni mzuri sana