Mtegoni alitegwa sungura ila akanasa mendeKimbiya kimbia ya sungura huishia mtegoni !!!
Mende 'nnninazake simpendi hata akina "ke z" wanamuogopa ile mbayaMtegoni alitegwa sungura ila akanasa mende
Mende 'nnninazake simpendi hata akina "ke z" wanamuogopa ile mbaya
Mbaya hata hazitizamikiMende 'nnninazake simpendi hata akina "ke z" wanamuogopa ile mbaya
Hazitazimiki picha za ajali ya treni na basi la abiriaMbaya hata hazitizamiki
Sana tu wataiona ufalme wa mbinguAbiria wa mapenzi ya Mungu wana raha sana
Mbingu na ardhi ni moja ya maajabu ya Mwenyezi Mungu kuzisimamisha bila nguzo !!Sana tu wataiona ufalme wa mbingu
nguzo za umeme zinatakiwa kuwa za chuma na sio mitiMbingu na ardhi ni moja ya maajabu ya Mwenyezi Mungu kuzisimamisha bila nguzo !!
nguzo za umeme zinatakiwa kuwa za chuma na sio miti
Mazombi nao ni watuMazombi
Watu kama jaji mfawidhi wanaharibu mpangilio wa threadMazombi nao ni watu
thread hii ni kwa wale wanao jielewaWatu kama jaji mfawidhi wanaharibu mpangilio wa thread
Wanaojielewa kama wewe na mimi....thread hii ni kwa wale wanao jielewa
mimi... ndiye mshindiWanaojielewa kama wewe na mimi....
mimi nikiona avatar yako akili ina gandaWanaojielewa kama wewe na mimi....
mimi nikiona avatar yako akili ina ganda
yako n nzuri zaidiInaganda kama yangu nionapo ID yako