KORBOTO
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 1,848
- 2,447
Ubongo ukiharibika mwili mzima hauna kaziUbongoni mwao kutakuwa na wadudu..!
Ubongo ukiharibika mwili mzima hauna kaziUbongoni mwao kutakuwa na wadudu..!
Kazi ni kitendo chochote kinachoweza kumwingizia mtu kipatoUbongo ukiharibika mwili mzima hauna kazi
Kazi inaonekana awamu ya tanoUbongo ukiharibika mwili mzima hauna kazi
Kazi ni kitendo chochote kinachoweza kumwingizia mtu kipato
Kipato ni kile apatacho mtu baada ya kufanya kazi
Ndotoni haswaa wala si utaniHii labda upo ndotoni
Utani utani gani hivi mnafikiri mtashinda tu eti utaniNdotoni haswaa wala si utani
Utani ni jambo linalonogea katika mahusiano ya maAl-watanUtani utani gani hivi mnafikiri mtashinda tu eti utani
MaAl-watan wa JF Kama ZZUtani ni jambo linalonogea katika mahusiano ya maAl-watan
ZZ zile za zamani nikuambie mgogoone nakuwakilisha upoke ushindiMaAl-watan wa JF Kama ZZ
ZZ ni mtu wa hekima Na hekima ni msingi wa maishaMaAl-watan wa JF Kama ZZ
Machungu kama shubiriMaisha ni kujipanga... Ukizembea utayaona machungu
Shubiri ina afadhaliMachungu kama shubiri
Afadhali wapi au una kaziShubiri ina afadhali
Kuchagua ni lazima Kama umejipangaKazi zipo nyingi tu kama wewe sio wa kuchagua