Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Uaminifu tu !! nadhani hata lahaaja au matamshi yanaweza chafuwa hewaMisunderstanding inatokea pale hakuna uaminifu
Uaminifu tu !! nadhani hata lahaaja au matamshi yanaweza chafuwa hewaMisunderstanding inatokea pale hakuna uaminifu
Hewa inategemea na mvutajiUaminifu tu !! nadhani hata lahaaja au matamshi yanaweza chafuwa hewa
Mvutaji awe na pua au pipe hadi apumueHewa inategemea na mvutaji
Apumue na machine hadi madaktari waamueMvutaji awe na pua au pipe hadi apumue
Waamue ndugu zake kwanza maana kisheria madaktari hawaruhusiwi...Apumue na machine hadi madaktari waamue
Hawaruhusiwi kupitia sehemu zilizozuiliwaWaamue ndugu zake kwanza maana kisheria madaktari hawaruhusiwi...
zilizozuiliwa bandarini ni zile gari na makontena ya mitumbaHawaruhusiwi kupitia sehemu zilizozuiliwa
Mitumba haifai haswa vitasa na braziazilizozuiliwa bandarini ni zile gari na makontena ya mitumba
Brasilia ni mji mkuu wa Brazil, endapo utanipa size zake ntakununulia..hahahaMitumba haifai haswa vitasa na brazia
NewBrasilia ni mji mkuu wa Brazil, endapo utanipa size zake ntakununulia..hahaha
Hasira hata mie zimejaa ...New
Hahaha alisikika akicheka huku akiwa ameshika chupa ya bia mkononi huku bosi wake akimwangalia kwa hasira
Zimejaa kwasababu unausingizi na hutaki kulala.Hasira hata mie zimejaa ...
Zimejaa Ni mtu mmoja alionekana akisema kuwa Ni pesa walizoiba wale weziHasira hata mie zimejaa ...
Wezi wa kutumia nguvu na silaha wanaitwaje vile?Zimejaa Ni mtu mmoja alionekana akisema kuwa Ni pesa walizoiba wale wezi
Vile unavyoona wewe kuwa hakuna Kiongozi Ana tania kwasasaWezi wa kutumia nguvu na silaha wanaitwaje vile?
Kwasasa unatakiwa kulalaV
Vile unavyoona wewe kuwa hakuna Kiongozi Ana tania kwasasa
Kwasasa kila idara itanyooka hadi uzalendo utapata hadhiV
Vile unavyoona wewe kuwa hakuna Kiongozi Ana tania kwasasa
Kulala ntalala ila siwezi kulala peke yanguZimejaa kwasababu unausingizi na hutaki kulala.