KORBOTO
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 1,848
- 2,447
mchango kila mtu anao.
Anao anao ni tabia ya kukimbia na mpira peke yako
mchango kila mtu anao.
Yako ni maneno matamu Kwa wapenda mpiraAnao anao ni tabia ya kukimbia na mpira peke yako
Yako ni maneno matamu Kwa wapenda mpira
Gizani ni nchezo gani usio julikanaMpira ndo mchezo unaopendwa zaidi ukiachwa ule mchezo unaochezwa gizani
Julikana sana mtaani uone tabu yake..!Gizani ni nchezo gani usio julikana
Yake fupi ya mwenzie ndefu.... siku hiyo acha evil mind....Julikana sana mtaani uone tabu yake..!
Business Ndio maana nini Kwa Kiswahili?mind your business
Kiswahili ni lugha inayozungumzwa hapa nchini na nchi jiraniBusiness Ndio maana nini Kwa Kiswahili?
Sana sana yule mlalamikaji akichoshwa ataenda kuripoti polisiJirani yangu ule ni mnafki sana
Polisi wanapenda rushwa mpaka niwaonge ndio waniandikie RBSana sana yule mlalamikaji akichoshwa ataenda kuripoti polisi
RB ni chakula maarufu kwa wale waliopitia boding au chuo hasa wale Wa udsmPolisi wanapenda rushwa mpaka niwaonge ndio waniandikie RB
UDSM chuo kilicho hudumia waTZ milioni 44 kwa kipindi kirefu...RB ni chakula maarufu kwa wale waliopitia boding au chuo hasa wale Wa udsm
Kirefu kipindi Kwa WaBongo wengi walio kuwa wakicheza poolUDSM chuo kilicho hudumia waTZ milioni 44 kwa kipindi kirefu...
Pool hii mnayoiona ni matokeo ya kupwaya kwa elimu nchini...Kirefu kipindi Kwa WaBongo wengi walio kuwa wakicheza pool
Nchini kuna kila kitu ila tulikuwa tuna dumaa kwakuwa hamna njia ya kutokaPool hii mnayoiona ni matokeo ya kupwaya kwa elimu nchini...
Kutoka outing na mrembo wako kunajenga mahaba...Nchini kuna kila kitu ila tulikuwa tuna dumaa kwakuwa hamna njia ya kutoka
Mahaba Kwa mrembo wako ni kama firdausi ila kama mrembo wako ni njilinji.mahaba yana kimbiyaKutoka outing na mrembo wako kunajenga mahaba...
Kimbiya kimbia ya sungura huishia mtegoni !!!Mahaba Kwa mrembo wako ni kama firdausi ila kama mrembo wako ni njilinji.mahaba yana kimbiya