Mainus
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 295
- 238
Peke yangu siwezi kuchangia uzi huuKulala ntalala ila siwezi kulala peke yangu
Peke yangu siwezi kuchangia uzi huuKulala ntalala ila siwezi kulala peke yangu
Yangu Ni nafsi peke yake hivyo tujitahidi kumuomba MunguKulala ntalala ila siwezi kulala peke yangu
Huu ushindi nimetamaluki mie ispokuwa kuna wachangiaji jeuri nita wa knockoutPeke yangu siwezi kuchangia uzi huu
Mungu yupo bizee na majamboz kabambe na siyo viduchu viduchuYangi
Yangu Ni nafsi peke yake hivyo tujitahidi kumuomba Mungu
Humu kuna wanga na malaika nipashe....Hu uzi ni wa pumba lakini watu wapo active,ama ni ma robot yanachangia humu?
Wa knockout halafu ulaleHuu ushindi nimetamaluki mie ispokuwa kuna wachangiaji jeuri nita wa knockout
Ulale kifudifudi ndo utamuona umpendae mtupu !!! mimi simo..Wa knockout halafu ulale
Mimi simo akianza kubadilika awe na kwato za ng'ombeUlale kifudifudi ndo utamuona umpendae mtupu !!! mimi simo..
Ngo'mbe wa Kienyeji ni wazuri sanaMimi simo akianza kubadilika awe na kwato za ng'ombe
Sana tu hata wa kisasaNgo'mbe wa Kienyeji ni wazuri sana
Kompyuta ni kifaa chenye kurahisisha kazi ya aina yeyote hapa chini ya jua.Matatizo huwepo katika maisha ya aina zote si lazima ujuwe komyuta
Kisasa ndiyo mchezo wa kula na kulipa.Sana tu hata wa kisasa
Kulipa ndio uwanaume kulipiwa utaolewa hapa mjiniKisasa ndiyo mchezo wa kula na kulipa.
Mjini mvua inaleta shida joto ndo kabisaKulipa ndio uwanaume kulipiwa utaolewa hapa mjini
Mjini kila mtu babyKulipa ndio uwanaume kulipiwa utaolewa hapa mjini
Naskia ni makompyuta yanaandika maruweruwe humu,,hamna mtuririko,kama wanywa viroba na mnanaa,ama mnaziHumu kuna wanga na malaika nipashe....
Kwanza siwalaumu watu wanaoharibu huu Uzi najua ni matokeo ya mambo mengi yaliojificha ubongoniBaby mwisho chalinze mjini pesa kwanza
Mujini ndo kwetu..!!habari ya mujini
Ubongoni mwao kutakuwa na wadudu..!Kwanza siwalaumu watu wanaoharibu huu Uzi najua ni matokeo ya mambo mengi yaliojificha ubongoni