HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,926
- 6,669
Alipo zamiluni namimi nataka niwepo
Niwepo siku zote katika uhai wangu bila kukusahauAlipo zamiluni namimi nataka niwepo
Vumilia unapokumbwa na majangaKukusahau wewe ni kosa lisilo vumilika
Majanga.....majanga....Vumilia unapokumbwa na majanga
mbona majanga
wimbo wa snurachuraWatajijua akina Blaki Womani na Mainus kama watakula samaki au nyama
malyakishu upeo wako umetukuka bora uendeleza uzi tufaidikeMajanga.....majanga....![]()
mbona majanga
wimbo wa snurachura
Taamu hubabaisha wenye nazo ila asonazo humungunyaNyama ya bata ni tamu
Taamu hubabaisha wenye nazo ila asonazo humungunya
Tufaidike na nn zamiluni zamilunimalyakishu upeo wako umetukuka bora uendeleza uzi tufaidike
Zamiluni kesha zama kiulaini....Tufaidike na nn zamiluni zamiluni
Asali ni tiba mbadala wa magonjwa mengi, jaribu kutumia ipasavyohumung'unya peremende yenye vionyo vya asali
Sana sana matumizi yake hayana gharama kama madawa ya hospitaliipasavyo ikitumika huwa inasaidia sana
Sana sana matumizi yake hayana gharama kama madawa ya hospitali
Zamiluni kesha zama kiulaini....
Unakufa duniani kwa wakati wako na siyo kwa kukosa hela acha khofu !!!!!hospital za siku hizi gharama kubwa kama huna hela unakufa
Unakufa duniani kwa wakati wako na siyo kwa kukosa hela acha khofu !!!!!
Kuogelea, kuwinda na kuparamia farasi ni ushujaa ulotukukakiulaini unazama kama hujui kuogelea
Wasiwasi ndo chanzo cha anxiety... itakupelekeshahofu sina bali wasiwasi