Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,262
- 18,251
Chakavu vina faida sana hasa chuma
Chuma cha pua pia?
Chakavu vina faida sana hasa chuma
Chuma,shaba,wire,taka,maboxi na plastiki hurudiwa kuzalishwa upya = recyclingChakavu vina faida sana hasa chuma
Pia nina wakaribisha kwenye kiwanda changuChuma cha pua pia?
Recycling ikifanyika vizuri mazingira yatakuwa rafiki.Chuma,shaba,wire,taka,maboxi na plastiki hurudiwa kuzalishwa upya = recycling
kutu ni bora kuliko kujipinda, kwani ulikiona ?!!Chuma cha Zamiluni zamiluni kimepata kutu
Tunaendelea kusota hadi majipu yote kutumbuliwaBado tunaendelea
Kutumbuliwa kwa kulipuliwa kwa mabomuTunaendelea kusota hadi majipu yote kutumbuliwa
Mabomu yanalipuliwa huko Syria, hapa tupatwa na mtafarukuKutumbuliwa kwa kulipuliwa kwa mabomu
Mabomu nayaanza maana ZZ kapata laki tano nami nimeingizwa mkenge laki nneKutumbuliwa kwa kulipuliwa kwa mabomu
nne tu zinakutosha acha kulalama chapa kazi utafanikiwaMabomu nayaanza maana ZZ kapata laki tano nami nimeingizwa mkenge laki nne
Utafanikiwa kivipi kila ukipata noti Mke anaenda shopingnne tu zinakutosha acha kulalama chapa kazi utafanikiwa
Shopping jamani ni moja ya mzunguko wa fedha acha wenzio nao wapate !!!Utafanikiwa kivipi kila ukipata noti Mke anaenda shoping
Wapate malezi yaliyo boraShopping jamani ni moja ya mzunguko wa fedha acha wenzio nao wapate !!!
Bora ulivyo tushauri kutosafiri usikuWapate malezi yaliyo bora
Usiku ni muda mzuri wakutafakari mipango mizuriBora ulivyo tushauri kutosafiri usiku
Usiku ni mda mzuri wa kupumzika watu tunalala lakini kuna wengine wachawi wantuwangia na wengine wezi wanatuibia.Bora ulivyo tushauri kutosafiri usiku
Wanatuibia ila hawafikinazo popote... japo wana wanga mwishoe wanafedheheka!!Usiku ni mda mzuri wa kupumzika watu tunalala lakini kuna wengine wachawi wantuwangia na wengine wezi wanatuibia.