Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Mizuri ipo miti yenye kustawi bila kutunzwaUsiku ni muda mzuri wakutafakari mipango mizuri
Mizuri ipo miti yenye kustawi bila kutunzwaUsiku ni muda mzuri wakutafakari mipango mizuri
Wanafedheheka Kwa sababu wanajifanya majini WatuWanatuibia ila hawafikinazo popote... japo wana wanga mwishoe wanafedheheka!!
Watu huwa na miigizo ya kudhihaki watu wengineWanafedheheka Kwa sababu wanajifanya majini Watu
aeiou Sasa unafikiri ukisema hivyo ndio utashinda? Hapa ni raha tuWengeni hawajui ata kusema a e i o u
a e i o u ni moja za lafudhi za kujifunza kiswahiliWengeni hawajui ata kusema a e i o u
Kiswahili ni Lugha tamu sana hata ukijufunza Lugha nyingine lafudhi ni nzuria e i o u ni moja za lafudhi za kujifunza kiswahili
Nzuri kwako kwangu mbayaKiswahili ni Lugha tamu sana hata ukijufunza Lugha nyingine lafudhi ni nzuri
Nzuri kwa wageni wenye kuizungumza ila wenyeji wanatumia maneno ya mkatoKiswahili ni Lugha tamu sana hata ukijufunza Lugha nyingine lafudhi ni nzuri
Mbaya imekukera hadi kuisusiaNzuri kwako kwangu mbaya
Kuisusia haijawa tiba ya tatizoMbaya imekukera hadi kuisusia
Tatizo la aina zote huwepo suluhisho kwa wenye uzoefuKuisusia haijawa tiba ya tatizo
Chubwii ndani, akatoka bila kuroa !!! huyo ni chura?Uzoefu wake ulimsaidia kudumbukia ndani ya lile shimo chubwihhhhhh
Chub chubuwa ngozi kwa mkorogo hadi ung'ae kama mzunguChara akawa anaogelea chub chub chub chub.....
Mzungu amepigwa banChub chubuwa ngozi kwa mkorogo hadi ung'ae kama mzungu
Bandugu balienda kwa mganga kupeleka mbuzi mweusiMzungu amepigwa ban
Mweusi jina la utani la IDD aminBandugu balienda kwa mganga kupeleka mbuzi mweusi
Amin rabi amin kila la kheri na amani limfikie huko alipoMweusi jina la utani la IDD amin