Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Fundi mwenyewe ni wa magumashi hupenda kuungaungaKompyuta yako umeipeleka lini kwa fundi
Fundi mwenyewe ni wa magumashi hupenda kuungaungaKompyuta yako umeipeleka lini kwa fundi
Jackson alifundishwa na mwl. DavidsonUfuska alifanya sana Michael jackson
Davidson ndio naniiiiJackson alifundishwa na mwl. Davidson
Nani asiyemjuwa Diana Ross mlezi wa JacksonDavidson ndio naniiii
Jackson amelala daima tuheshimu kazi zake duniani.Nani asiyemjuwa Diana Ross mlezi wa Jackson
Arusha ni mkoa wenye baridiJackson alisharudi Arusha
Baridi ishaanza jamaniArusha ni mkoa wenye baridi
Duniani kila siku kuna toleo jipya, yalopita tuyaacheJackson amelala daima tuheshimu kazi zake duniani.
Baridi mpaka tunatetemekaArusha ni mkoa wenye baridi
Tunatetemeka kwa kukosa blanket...Baridi mpaka tunatetemeka
Blanket ya ukweli ni mapaja manene.Tunatetemeka kwa kukosa blanket...
Manene na membamba yote ni maumbile ya kuheshimikaBlanket ya ukweli ni mapaja manene.
Kuheshimika bongo hii lazima uwe na pesa.Manene na membamba yote ni maumbile ya kuheshimika
Pesa zenyewe ngumu kuzipata kweliKuheshimika bongo hii lazima uwe na pesa.
Kweli kweli Lowasaaa kweli kweli kweli lowasa.Pesa zenyewe ngumu kuzipata kweli
Lowasa ni wa Ukawa tuKweli kweli Lowasaaa kweli kweli kweli lowasa.
Ukawa tu walitosha kuibomoa ccmLowasa ni wa Ukawa tu
CC msituingize katika hizo siasa chakavu !!Ukawa tu walitosha kuibomoa ccm
Chakavu vina faida sana hasa chumaCC msituingize katika hizo siasa chakavu !!