Talented Land
Senior Member
- Feb 4, 2016
- 157
- 135
baadaye nitaisubiri kwa hamu kama lamuMauritania ina historiya ya kiajabu, wasaa wangu nitawahadithia baadaye...
baadaye nitaisubiri kwa hamu kama lamuMauritania ina historiya ya kiajabu, wasaa wangu nitawahadithia baadaye...
Lamu ni nchi au kijiji?baadaye nitaisubiri kwa hamu kama lamu
Mwalimu mkuu amefikishwa kwa afisa wa elimu kujibu tuhumaUjamaa na kujitegemea ndiyo sera ya mwalimu
Tuhuma za wakuu wa mikoa kukataa uwepo wa watumishi hewaMwalimu mkuu amefikishwa kwa afisa wa elimu kujibu tuhuma
Wapi naweza pata kiaziWanaivuta kutoka wapi
Kiazi mbatata au kiazi mviringoWapi naweza pata kiazi
Pembe za nini Ndovu!!Mviringo huwa hauna pembe
Hewa ndio kwanza naivuta asubuhi hii.Tuhuma za wakuu wa mikoa kukataa uwepo wa watumishi hewa
najinyoosha ili nijitangazie ushindiHewa ndio kwanza naivuta asubuhi hii.
Mlifikiri mtashinda?hashindi mtu hapa maana ndio Kwanzaa najinyoosha.
Ushindi hupati ng'oo labda ukatambike kwenunajinyoosha ili nijitangazie ushindi
Kwenu nasikia ni pazuri !!?Ushindi hupati ng'oo labda ukatambike kwenu
Wachawi hawana uhai kwetu, wakipatikana wanauawa !!Kwenu wachawi
Kwako na kwangu hakuna toafutiPazuri zaidi ya kwako