Malyakishu
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,968
- 2,351
Utamaduni wetu uenziweMazungumzo yetu kusahihishana na kusameheana huu ndiyo utamaduni
Utamaduni wetu uenziweMazungumzo yetu kusahihishana na kusameheana huu ndiyo utamaduni
Sana mzuri ni hapa Tanzania, ila huko kwengine mmmh!! kuna cha moto...utamaduni wetu was afrika ni mzuri sana
Uenziwe nasiye tulokuwepo ilituwakabidhi vizazi vijao waendelezeUtamaduni wetu uenziwe
moto wa afrika tofauti na ulaya .afrika mojaSana mzuri ni hapa Tanzania, ila huko kwengine mmmh!! kuna cha moto...
Patikana mzigo uliotelekezwa na msafiriMoto utawaka mshindi asipo patikana
asipopatikana basi kuna walakini humuMoto utawaka mshindi asipo patikana
Moja na Umoja ilikuwa enzi za mababu.., ila siku hizi ni ya rabi nafsi !!moto wa afrika tofauti na ulaya .afrika moja
msafiri diof ni rapa was twanga pepetaPatikana mzigo uliotelekezwa na msafiri
Pepeta kunde tupike jioni hii njaa imenishikamsafiri diof ni rapa was twanga pepeta
nafsi zetu zinaamini ktk mungu tofauti na wazunguMoja na Umoja ilikuwa enzi za mababu.., ila siku hizi ni ya rabi nafsi !!
imenishika ni kitenzi kisichokuwa ns kieleziPepeta kunde tupike jioni hii njaa imenishika
Wazungu Mungu wao yupo moyoni mwao siye Mungu wetu yupo mbinguni,,,nafsi zetu zinaamini ktk mungu tofauti na wazungu
Kielezi kinafahamika mgeni aje.. umfungulie mlango na kumkaribishaimenishika ni kitenzi kisichokuwa ns kielezi
mbinguni ni mbali sana ndio maana tunafanaaWazungu Mungu wao yupo moyoni mwao siye Mungu wetu yupo mbinguni,,,
Tunafaana kinamna tu pasipo na kanuni, Ndipo waona dhulma hufanyika dhahirimbinguni ni mbali sana ndio maana tunafanaa
dhahiri shairi tunafanana toka Tanzania hadi MauritaniaTunafaana kinamna tu pasipo na kanuni, Ndipo waona dhulma hufanyika dhahiri
hiyo imekuacha unadandiadandia tuu!!Mashariki ya mbali au mashariki ipi hiyo
Mauritania ina historiya ya kiajabu, wasaa wangu nitawahadithia baadaye...dhahiri shairi tunafanana toka Tanzania hadi Mauritania