Talented Land
Senior Member
- Feb 4, 2016
- 157
- 135
kuyatimiza mambo kunahitaji muda kwa hiyo subira huvuta kheriHusika na wale wasemaji sana, utaona kuwa wana ahidi mambo wasiyoweza kuyatimiza !!!
kuyatimiza mambo kunahitaji muda kwa hiyo subira huvuta kheriHusika na wale wasemaji sana, utaona kuwa wana ahidi mambo wasiyoweza kuyatimiza !!!
wazame kwanza ndio washike adabuWanafurahia waliye juu ya meli, hawajui walochini wanatoboa ili wote wazame
Kheri ni moja ya maombi yanayotangulizwa kumteremkea mwanaadamukuyatimiza mambo kunahitaji muda kwa hiyo subira huvuta kheri
Husika na mada tajwa hapo juuMungumtu hafai kwani anaweka matabaka katika jamii husika
mwanadamu ni kiumbe mwenye utashiKheri ni moja ya maombi yanayotangulizwa kumteremkea mwanaadamu
Adabu inapolazimishwa itawahusu jamii nzima , huoni tatizo la UMEME ulivyo tugusa ?wazame kwanza ndio washike adabu
Utashi wa kiana, Lakini ni wepesi kugeukageuka na kubadilikamwanadamu ni kiumbe mwenye utashi
ulivyotugusa kwa thread zako ndo maana unalike nyingiAdabu inapolazimishwa itawahusu jamii nzima , huoni tatizo la UMEME ulivyo tugusa ?
kubadilika badilika ndio sifa ya (matter)maadaUtashi wa kiana, Lakini ni wepesi kugeukageuka na kubadilika
Nyingi za zari siyo utajiri wa kutukukaulivyotugusa kwa thread zako ndo maana unalike nyingi
kutukuka na kutukuzwa ni hali za kutendeka na kutendwaNyingi za zari siyo utajiri wa kutukuka
Maada hii nikuachie uwe mshindi na BINGWA !!kubadilika badilika ndio sifa ya (matter)maada
BINGWA hakati tamaaMaada hii nikuachie uwe mshindi na BINGWA !!
Kutendewa ni unyonge japo mtendae hujifarguwa kadamunasikutukuka na kutukuzwa ni hali za kutendeka na kutendwa
Tamaa humfanya mlafi avimbiweBINGWA hakati tamaa
avimbiwe ni makosa ya kiuandishi badala ya kuvimbiwa lakini sawa ki mazungumzoTamaa humfanya mlafi avimbiwe
kadamunasi kubwa ya lowasa jangwani iko wapiKutendewa ni unyonge japo mtendae hujifarguwa kadamunasi
Mazungumzo yetu kusahihishana na kusameheana huu ndiyo utamaduniavimbiwe ni makosa ya kiuandishi badala ya kuvimbiwa lakini sawa ki mazungumzo
utamaduni wetu was afrika ni mzuri sanaMazungumzo yetu kusahihishana na kusameheana huu ndiyo utamaduni
Wapi inapatikana urembo na vipodozi asilia hapa mjini?kadamunasi kubwa ya lowasa jangwani iko wapi