Bonesmen
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 929
- 993
Sura mjini tabia peleka kijijiniMpole wa sura
Sura mjini tabia peleka kijijiniMpole wa sura
Sura yako nina ifananisha na Msanii maarufu Naomi CampellMpole wa sura
Sura za walindembwe ni bombaMpole wa sura
Kijijini siku baada ya siku patakuwa mjiniSura mjini tabia peleka kijijini
Wapi tutaonana jioni hii?Kijiji kwenu wapi?
Wengi walioandamana walitawanyishwa na mabomu ya machoziMjini mashoga wengi
Kazi za leo ni Keyboard.... !!Hii ni mida ya kazi
Keyboard leo naona zinavuruguKazi za leo ni Keyboard.... !!
Machozi ya mwanaume ni kazi kutokaWengi walioandamana walitawanyishwa na mabomu ya machozi
Zinavurugu zilipo pambanishwa na wapiga bao !!!Keyboard leo naona zinavurugu
Bao moja lina nitoshaZinavurugu zilipo pambanishwa na wapiga bao !!!
Kutoka na mpenzi wako ni muonekano wa kisasaMachozi ya mwanaume ni kazi kutoka
Nitosha umekuwa kama kuku!Bao moja lina nitosha
Linanitosha namie ndiyo zangu.. sinaga paparaBao moja lina nitosha
Kuku wa supamaketi au kuku wa kienyeji?Nitosha umekuwa kama kuku!
Papara za leo zinatuharibia uhondoLinanitosha namie ndiyo zangu.. sinaga papara
Uhondo ule wa weekendi ulikuwa powa !1Papara za leo zinatuharibia uhondo