HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,926
- 6,669
Heshima inaanza na wewe
heshima in kitu pekee kinacholeta hadhiMadhara yaliyo sababisha vijana wengi kupoteza maadili na heshima
Wewe ndiyo uliyetukuka kwa kuongoza waungwanaHeshima inaanza na wewe
Wewe ni kati ya members wa jamiiforumsHeshima inaanza na wewe
Hadhi inasimama na mtu aliyekuwa msafi wa moyo na matendo memaheshima in kitu pekee kinacholeta hadhi
Wachache nidyo watakao kuwa washindi ktk Ulimwengu huuWaungwana siku hizi wamekua wachache
huu ni mwanzo mchezo hauishiWachache nidyo watakao kuwa washindi ktk Ulimwengu huu
hauishi kwa vile lugha ni moja ya mawasiliano yasiyo na ukomohuu ni mwanzo mchezo hauishi
ukomo wa raisi ni miaka kumihauishi kwa vile lugha ni moja ya mawasiliano yasiyo na ukomo
Kumi likitimia siajabu katiba ikachakachuliwa na kuongezeka miaka zaidiukomo wa raisi ni miaka kumi
zaidi ya hapo in uvunjifu wa katibaKumi likitimia siajabu katiba ikachakachuliwa na kuongezeka miaka zaidi
Katiba imeshakuwa muhanga katika ulimwengu huu wa unafiki...zaidi ya hapo in uvunjifu wa katiba
unafiki huambatana na usaliti kwa unayemtegemeaKatiba imeshakuwa muhanga katika ulimwengu huu wa unafiki...
Unayemtegemea mara nyingi hujinasibu kuwa MunguMtuunafiki huambatana na usaliti kwa unayemtegemea
Unayemtegemea ndiye atakaye kutumbua kama kijipu uchunguunafiki huambatana na usaliti kwa unayemtegemea
Mungumtu hafai kwani anaweka matabaka katika jamii husikaUnayemtegemea mara nyingi hujinasibu kuwa MunguMtu
uchungu wakutumbuliwa jipu eti wengine wanafurahiUnayemtegemea ndiye atakaye kutumbua kama kijipu uchungu
Husika na wale wasemaji sana, utaona kuwa wana ahidi mambo wasiyoweza kuyatimiza !!!Mungumtu hafai kwani anaweka matabaka katika jamii husika
Wanafurahia waliye juu ya meli, hawajui walochini wanatoboa ili wote wazameuchungu wakutumbuliwa jipu eti wengine wanafurahi