HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,926
- 6,669
Sana haswa pale unapoumwa jino
chekecheke ya magufuli ina matundu makubwa,imemtema mpaka Dr bongejina limetoboka kama chekecheke.
Bajaji ndogo kama akili yako nn hichi umefanya?kesho ntasafiri na bajaj

? ni alama ya kuulizaBajaji ndogo kama akili yako nn hichi umefanya?![]()
![]()
Hamna mshindi ktk huu uziMaarifa mazuri Lakini akili hamna
Tu... tunashuhudia majipu yanavyotumbuliwa, JE KWENU HAKUNA MAJIPU?Yanazaliwa majanga kila siku Lakini hapa ni raha tu
"Hapa kazi tu" ni kauli ya jamaa flaniMajibu unayajua zamiluni au una yaandika tu hapa
Fulani ni Kiongozi mwema mwenye mtazamo wa kujikomboa.."Hapa kazi tu" ni kauli ya jamaa flani
Rahisi inawezekana iwapo waTanzania wote watawajibika vilivyo...Kujikomboa kwa style yake sijui kama itakua raisi
Vilivyo elea ujue ni vyepesiRahisi inawezekana iwapo waTanzania wote watawajibika vilivyo...