The last don
JF-Expert Member
- Aug 3, 2011
- 1,135
- 1,381
Up n down in life ni kitu cha kawaida sana.
Anachepuka? je njia kuu haionimkeo anachepuka!
Gani inasound kama bunduki vile!Anachepuka njia Kaenda njia gani
Viboko watachapwa wengi, maana watu wanavuruga sana uziVile mtu anakosea huu uzi atachapwa viboko
Chooni kunanukaViatu vya shamba, mpirani,ofisini au chooni?
Sana kuliko MoshiSumbawanga kuna wachawi sana