Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
Mwishoooo? Kasema nani? Na umevuruga utaratibumimi wa mwishoooooo
Mwishoooo? Kasema nani? Na umevuruga utaratibumimi wa mwishoooooo
Mwishoooo? Kasema nani? Na umevuruga utaratibu
Unavurugwa na watu wasio makiniUtaratibu hata bungeni unavurugwa.
Mwishoooo? Kasema nani? Na umevuruga utaratibu
Utaratibu hata bungeni unavurugwa.
nakukubali wewe pokea na jero hiyoooooo upoze kooo
mshindi ni sabuni ya mcheUzi huu ukiwa mchangiaji wa mwisho basi wewe ndio mshindi.
Mche ni kiswahili kwa lugha ya kingereza unaitwa bar.mshindi ni sabuni ya mche
Sanifu alichokiandika mwenzako sio unaenda nje kabisa ya neno la mwisho la post ulioikuta ukijiona ubongo umeshindwa kuchakata maneno acha watakuja wanaojua kulifungua hilo na mchezo utaendeleaTu au tuu... Ipi ni kiswahili sanifu?
utaendelea vipi wakati tayari mimi ndo mshindiSanifu alichokiandika mwenzako sio unaenda nje kabisa ya neno la mwisho la post ulioikuta ukijiona ubongo umeshindwa kuchakata maneno acha watakuja wanaojua kulifungua hilo na mchezo utaendelea
Mshindi ni yule atakaekuwa Wa mwishoutaendelea vipi wakati tayari mimi ndo mshindi
Habari za asubui wana JFTuu lieni niwape habari