Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Fyoko fyoko ukiileta utakumbana na kibano cha Magufuli
 
Madarakani kila mwanasiasa akipata ushindi muda ukisha hataki kuachia ofisi
 
Kizungu wakati mwingine kinaboa kinakopa hadi maneno ya kiswahili
 
B ni konsonati ambayo ilinipa utata kuiandika wakati nipo darasa la kwanza
 
Kwanza ushanikumbusha wakati nipo chekechea ile kwenda likizo kurudi nikasahau kuandika a
 
Back
Top Bottom