oyayakaranga
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 677
- 397
Magogoni kulikuwa na unga Wa ndele na kila public servant alinyweshwa na mchongaNdani au nje?,sasa mbona muda mwingi yupo Magogoni
Magogoni kulikuwa na unga Wa ndele na kila public servant alinyweshwa na mchongaNdani au nje?,sasa mbona muda mwingi yupo Magogoni
Mchonga meno au maneno...???Magogoni kulikuwa na unga Wa ndele na kila public servant alinyweshwa na mchonga
Maneno ya kejeli ya mashabiki wa ArsayNO dhidi ya Man Utd leo yamewatokea puaniMchonga meno au maneno...???
Maneno maneno huwa sipendi na ntahakikisha hapatikani mshindi ktk hii threadMchonga meno au maneno...???
mgongo wa kobeMiguu,mikono,kiuno,kichwa viungo vyote vinaunganishwa na uti wa mgongo.
Hadithi za ngono tu zimejaa Siku hizi jf.....!Kobe ndio mganga wa jadi wa wanyama wa porini kama tunavyosomaga kwenye hadithi hadithi
Jf.....! Ni kama imebakwa na hadithi za ngonoHadithi za ngono tu zimejaa Siku hizi jf.....!
Ngono ndizo tunazoziweza wabongo wengi!Jf.....! Ni kama imebakwa na hadithi za ngono
Wengi wao hawawatoshelezi wenza waoNgono ndizo tunazoziweza wabongo wengi!
ndoa imekuwa ndoanakujitakia madhara yake unaweza kosa ndoa
Ndoana bila kuweka chambo hupati ndoa shekhndoa imekuwa ndoana
mvuvi wa changu au kolekole?Sheikh anaweka chambo au mvuvi