chopeko
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 1,527
- 1,112
Kolekole nasikia ni mtamu sana!mvuvi wa changu au kolekole?
Kolekole nasikia ni mtamu sana!mvuvi wa changu au kolekole?
Sana lakini papucha ni tamu zaidiKolekole nasikia ni mtamu sana!
Papuchi ukiziendekeza lazima upate kale kaugonjwaAsali haiizidi papuchi
Kolekole hupatikana Kenya tuu.mvuvi wa changu au kolekole?
Hujaelewa wewe, maana mshindi atatangazwa wiki ijayo labda utatangazwa wewe.Wewe, me ndio mshindi bado hujaelewa?
wewe kakuteua nani kutangaza mshindi!!Hujaelewa wewe, maana mshindi atatangazwa wiki ijayo labda utatangazwa wewe.
Mshindi nitatangaza kwa niaba ya mleta Uzi.
Uzi huu hauna mwisho, bora mtulie tu