Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Na wewe ndo waongoza kwa ubishi... c ndio?
Ndio mzee... wimbo ulivuma miaka hiyo by Profesa J
Na wewe ndo waongoza kwa ubishi... c ndio?
Mitisa haaaaaMikumi au mitisa?
Mitisa, minane, misaba, misita, mitano, minne, mitatu, mimbili, mimoja yote hii ni minamba.Mikumi au mitisa?
Minamba / Manamba?Mitisa, minane, misaba, misita, mitano, minne, mitatu, mimbili, mimoja yote hii ni minamba.
Manamba walikuwa wabeba mizigo kipindi cha zamani kabla ya uhuruMinamba / Manamba?
Uhuru sio hazeti nilipendaloManamba walikuwa wabeba mizigo kipindi cha zamani kabla ya uhuru
Nilopendalo Mimi ni habari leo na mwananchiUhuru sio hazeti nilipendalo
Mwananchi napenda ila zaidi daily newsNilopendalo Mimi ni habari leo na mwananchi
Daily news is the best university ever....Mwananchi napenda ila zaidi daily news
Daily news is the best university ever....
Spider haya mabus au wadudu?The road was full of spiders!!
Wadudu ambao ni hatariSpider haya mabus au wadudu?
Usalama wangu uko mikononi mwakohatari lakini kuna usalama
Daima sita chepuka....Mwako moyoni nitadumu daima