Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Kuamka kwa kuchelewa huwa ni kukurupuka
Kukurupuka ukichelewa kuamka ni kawaida sana kwa wenye ajira serikalini kipindi hiki cha uongozi wa Magufuli. Kama unabisha jaribu kesho kuchelewa kuamka lazima uta kurupuka
 
Unapokurupushwa angalia anayekukurupusha kabla haujakimbia.
 
Haujakurupushwa kwa kuwa unawah kudamka, tambua ukikutwa mgegedaji kichakani lazima ukurupushwe
 
Ukurupushwe tu maana hamna namna lodge zote na gesti bubu zilivonyingi mpaka ukagegede kichakani lazima utakurupushwa
 
Kukurupuka sio lazima ukurupushwe waweza pia jikurupusha ukimpata chance ya kujikurupusha na ukatafuta sababu ya kujikurupusha
 
Back
Top Bottom