Kweli mshana Jr aje atangaze atakayecomment baada yake yatamkuta makubwa uone kama huu uzi haufiki mwisho hapo hapo.Mkuu wa huu uzi yupo kweli?
hapo hapo ulipo na sisi tupo kama mawakala wa vifoKweli mshana Jr aje atangaze atakayecomment baada yake yatamkuta makubwa uone kama huu uzi haufiki mwisho hapo hapo.
Uchawi unaleta umasikiniVifo haviwez kusababishwa na uchawi
Ccm haitaondoka madarakani kirahisiUmasikini Tanzania umesababishwa na serikali mbovu ya ccm
Madaraka hatuachii hadi muombe po!kirahisi ccm itaachia madaraka
Wanang'ang'ania kama nchi hii ni ya kwao au ya baba zao!mh we kabugha ndie kabuga nimjuaye au wewe mwingine?Madaraka matamu ndo mana nkurunziza na sheni wanang'ang'ania
Atampata nani na mi namtafuta rafiki yangu wa kale?Anamtamfuta mshindi sizani kama atampata
Bado nini wakati mimi ndio mshindi