malengo yako bac yatakuwa ule na uamke kesho hta wazo LA kuwa na kampun huna.....Kidogo ukiwa na ndoto kubwa hufiki malengo
Huna hela,huna nguvu basi angalau uwe na mikwara..!malengo yako bac yatakuwa ule na uamke kesho hta wazo LA kuwa na kampun huna.....
Uchwara sidhani kama ni neno la kiswahili fasaha..!!Mikwara uchwara
Fasaha nini uko hebu kalale😀Uchwara sidhani kama ni neno la kiswahili fasaha..!!
Mpingo ndo nini..?Mweusi kama mpingo.
njema sana asubuhi ya leo
Mchepuko wangu Leo ulikuwa ibadani ukibatiza mtoto wangu wa nje!!Leo LAZIMA nimkomeshe mchepuko..
Nje ya MadaMchepuko wangu Leo ulikuwa ibadani ukibatiza mtoto wangu wa nje!!