manchoso
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 1,605
- 2,058
ngoma za wacko jacko zikipigwa lazima utikise japo mguuRumba na kupiga ngoma
ngoma za wacko jacko zikipigwa lazima utikise japo mguuRumba na kupiga ngoma
mguu tuu unacheza mpaka moon walkngoma za wacko jacko zikipigwa lazima utikise japo mguu
kapuni kwa maana imepotezewa
Sana Kama ni mvivu na elimu hana lakini anachagua kazi..Mtanzania wakawaida maisha yake ni magumu sana
Kazi ni kazi almradi iwe na kipato cha halali.Sana Kama ni mvivu na elimu hana lakini anachagua kazi..
Halali haitoshi siku zoteKazi ni kazi almradi iwe na kipato cha halali.
Zote Simba na Yanga zinaua soka la Bongo.Halali haitoshi siku zote
Bongo movie vs bongo flevaZote Simba na Yanga zinaua soka la Bongo.
Fleva zote zimeeksipayaBongo movie vs bongo fleva
Zimeeksipaya dah umenikumbusha kiswa kinge
Sijaelewa hata mimi pia.Kinge ni kifupi cha neno, neno kamili ama ni jina la sehemu? Hapo sijaelewa.
Piano ni nini????Pia ni kifupi cha piano