Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Africa ipo nyuma sana kimaendeleo ukilinganisha na mabara mengine
 
mengine watu wake wana akili na kujituma, ila sisi tunaimbiana taarabu kwenye uchaguzi kua tutaisoma namba na kuchagua viongozi wala rushwa kila mara na wanaorithishana kutoka kwa baba kwenda kwa mtoto,
 
mengine watu wake wana akili na kujituma, ila sisi tunaimbiana kuisoma namba na kuchagua viongozi wala rushwa kila mara na wanaorithishana kutoka kwa baba kwenda kwa mtoto

!
!
Mtoto inabidi apewe malezi mazuri ili maisha yake yawe na uhakika mkubwa wa uelekeo wenye kesho nzuri
 
Back
Top Bottom