Kimambo jr
JF-Expert Member
- Apr 27, 2015
- 207
- 67
mshangao ni 😱Upo? Ni swali au mshangao
mshangao ni 😱Upo? Ni swali au mshangao
😳kumbe..mshangao ni 😱
kumbe ulikuwa hujui😳kumbe..
Hujui Kama yule mtoto umebambikiwa..ni wangu!!kumbe ulikuwa hujui
Uzushi wa watu ulinivunjia mahusianoWaswahili bana acheni uzushi
Tanesco siwapendi kama tigoMahusiano ya sikuhizi yako Kama umeme wa tanesco
Sana ila hawanifikii mie..maana nataka kukuiba..Tigo wezi sana
Kukuiba siwezi labda nikuporeSana ila hawanifikii mie..maana nataka kukuiba..
Kukuiba unaweza kulinyambulisha ukapata nomino na kitenziSana ila hawanifikii mie..maana nataka kukuiba..
Kitenzi ni nini?Kukuiba unaweza kulinyambulisha ukapata nomino na kitenzi
Kukuiba naweza ila sina pa kukuwekaSana ila hawanifikii mie..maana nataka kukuiba..
Kukuweka ndani Kama mke yangu naweza ila sio Kama rafiki..Kukuiba naweza ila sina pa kukuweka