lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 13,200
- 28,080
Ebo!!hivi muanzilishi wa huu uzi yupo hai???chizi masoka hakuna unachowaza we zaidi ya tungi na soka, si ucheki la liga basi ebo
Ebo!!hivi muanzilishi wa huu uzi yupo hai???chizi masoka hakuna unachowaza we zaidi ya tungi na soka, si ucheki la liga basi ebo
hai kuna wachaga wengi ndo mana ccm hawashindiEbo!!hivi muanzilishi wa huu uzi yupo hai???
Sana mkuu, pongezi ziwafikie waanzilishiFaida ya Jf ni kubwa sana
Mnajadili kitu gani hapa?Waanzilishi? Au mwanzilishi maan nachojua wazo ni lamtu mmoja
hayakuhusu umbea tuMnajadili kitu gani hapa?
mmoja wa waanzilishi wa jf ni mimiWaanzilishi? Au mwanzilishi maan nachojua wazo ni lamtu mmoja
Mmoja peke ake sidhani kama angeweza kuanzisha jfWaanzilishi? Au mwanzilishi maan nachojua wazo ni lamtu mmoja
jf ni kisima cha maarifaMmoja peke ake sidhani kama angeweza kuanzisha jf
binadamu wa leo kama huna pesa hawakuthaminMaarifa ni muhimu sana kwa binadamu
sentensi rahisi zipo tu chekecheaHawakuthamin ni neno gumu kuanzisha sentensi
Chekechea nilikua napata mia kwa miasentensi rahisi zipo tu chekechea
Chekechea nilikua napata mia kwa mia