Nikilewa mniache
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 19,302
- 51,951
Baadae kuna dizain utaukuta huu uzimkuu naona asubuhi hii watu wanavuruga utaratibu acha niondoke ntarudi baadae
Baadae kuna dizain utaukuta huu uzimkuu naona asubuhi hii watu wanavuruga utaratibu acha niondoke ntarudi baadae
Bahari ya hindi ipo office gani hapa arusha?Morogoro mji kasoro bahari
Sahihi kivipi ndugulai?Arusha kuna watu walikuwa wanachanganya huu Uzi usiwe kwenye mtiririko sahihi
Wizi wa wake za watu ulipelekea kibamia chake kikatike!!!Mali nyingi za wanasiasa ni za wizi
Kikatike tu maana wamezidi kuiba wake za watu
ushoga huwa unaanzia saloonWatu wengi duniani nwdayz wanasapoti ushoga.
mwenyewe leo nimekaa tu hakuna eplUtamu wa pipi ni mate yako mwenyewe
chizi masoka hakuna unachowaza we zaidi ya tungi na soka, si ucheki la liga basi ebomwenyewe leo nimekaa tu hakuna epl