Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 2,937
- 8,168
Wanawake ni sababu kubwa ya wanaume kufa mapema tena katika umasikini mkubwa
kukuchafua nini ambacho huwezi kukisafisha ukimaliza kula icecream au ukiamka asubuhiicecream huwa inatabia ya kutoa vimiminika ikilambwa sana hivyo basi vinaweza kutililika na kukuchafua
asubuhi unakua umechoka maana mikono na kinywa vitakua vinahisi uchovu kwa kazi nzito ya usiku, bora kusafisha mara baada ya tukiokukuchafua nini ambacho huwezi kukisafisha ukimaliza kula icecream au ukiamka asubuhi
Tukio la kula icecream na vyakula vingine likimalizika, si ndiyo unakua umechoka zaidiasubuhi unakua umechoka maana mikono na kinywa vitakua vinahisi uchovu kwa kazi nzito ya usiku, bora kusafisha mara baada ya tukio
unakua umechoka zaidi ila utakua umeridhika kwa chakula kitamu na moyo utakua na amani 🤗Tukio la kula icecream na vyakula vingine likimalizika, si ndiyo unakua umechoka zaidi
Amani unaachaje kukosa na icecream iliyo kua tamu 😂unakua umechoka zaidi ila utakua umeridhika kwa chakula kitamu na moyo utakua na amani 🤗
tamu ukachanganya na asali kidogo weeeuh ni balaa🤭😆Amani unaachaje kukosa na icecream iliyo kua tamu 😂
Balaa unalo wewe binti, unajifanya huvumi kumbe umo 😂tamu ukachanganya na asali kidogo weeeuh ni balaa🤭😆
umo pekeako ila mimi akuuu ndo kwaanza nimehitimu darasa la saba😆😆 mengi sijayajuaBalaa unalo wewe binti, unajifanya huvumi kumbe umo 😂
Sijayajua mambo yako dada, ila nitayafukunyua mpaka niyapate, wewe ni mtaalamuumo pekeako ila mimi akuuu ndo kwaanza nimehitimu darasa la saba😆😆 mengi sijayajua
Mpaka sasa hivi naona nakuamshindiWanawake ni sababu kubwa ya wanaume kufa mapema tena katika umasikini mkubwa
Mshindi wa niniMpaka sasa hivi naona nakuamshindi
mtaalam niwe mie😅😅 we fukunyua tu ila najua hauwezi kunipata popoteSijayajua mambo yako dada, ila nitayafukunyua mpaka niyapate, wewe ni mtaalamu
Popote kambi ndiyo mambo yakomtaalam niwe mie😅😅 we fukunyua tu ila najua hauwezi kunipata popote
mambo yako yalikua mengi ila saivi umepunguza sijui kwaniniPopote kambi ndiyo mambo yako
Kwanini yasipungue? maisha wakati mwingine yanatupunguzia spidi automaticallymambo yako yalikua mengi ila saivi umepunguza sijui kwanini
automatically nimejikuta nakupenda uwe dada angu wa hiali unishauri baadhi ya mamboKwanini yasipungue? maisha wakati mwingine yanatupunguzia spidi automatically
Mambo gani hayo? asante kwa upendoautomatically nimejikuta nakupenda uwe dada angu wa hiali unishauri baadhi ya mambo
upendo ndio nguzo kuu ya maisha tukiishi kwa upendo lazima tufanikiweMambo gani hayo? asante kwa upendo